jamiif JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 2,413 Reaction score 992 Mar 26, 2014 #1 Habarini za leo! Jamani nina swali kwa madaktari, eti hiyo dawa tajwa hapo husaidia kuwezesha mtu akaconceive? /akashika ujauzito?
Habarini za leo! Jamani nina swali kwa madaktari, eti hiyo dawa tajwa hapo husaidia kuwezesha mtu akaconceive? /akashika ujauzito?
N ng`wana ong`wa kulwa JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 2,420 Reaction score 1,752 Mar 26, 2014 #2 Ndiyo inasaidia.Je unashida kwenye kizazi,au unaingia menopause,au hormone zako zinashida?
jamiif JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 2,413 Reaction score 992 Mar 26, 2014 Thread starter #3 nimekupm ndg yangu unipe mwangaza zaidi.... ng`wana ong`wa kulwa said: Ndiyo inasaidia.Je unashida kwenye kizazi,au unaingia menopause,au hormone zako zinashida? Click to expand...
nimekupm ndg yangu unipe mwangaza zaidi.... ng`wana ong`wa kulwa said: Ndiyo inasaidia.Je unashida kwenye kizazi,au unaingia menopause,au hormone zako zinashida? Click to expand...
Q Jr Member Joined Mar 7, 2014 Posts 5 Reaction score 5 Mar 26, 2014 #4 jamiif said: nimekupm ndg yangu unipe mwangaza zaidi.... Click to expand... Hiv kupm ndo nn wandugu
jamiif JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 2,413 Reaction score 992 Mar 26, 2014 Thread starter #5 ni kumuandikia mtu msg privately (wanaita Private Message) hiyo unakuwa unawasiliana na huyo mtu mmoja tu bila wengine kuona conversation yenu... Q Jr said: Hiv kupm ndo nn wandugu Click to expand...
ni kumuandikia mtu msg privately (wanaita Private Message) hiyo unakuwa unawasiliana na huyo mtu mmoja tu bila wengine kuona conversation yenu... Q Jr said: Hiv kupm ndo nn wandugu Click to expand...