Zombies of Nairobi

Zombies of Nairobi

Hawata kuja humu, kujifanya fanya wana maendeleo kumbe hamna kitu...
 
But budaa,those are beggars in nairobi,stop seeking for relief.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Your beggars, mumewajaza Nairobi hadi kero, guys uzeni makinikia muwaokoe hawa.
 
I think wamepanga runda,juu mna roho nzuri sana za kusaidia masikini nimesikia[emoji38][emoji38].

Kama bado wanaomba omba mnawapea hela ngapi isiyotosha mboga,nanyinyi DC citizens🥺🥺
 
Nchi imewashinda, full mikurupuko hadi watu wanaikimbia kwenda kuomba omba, huwa nashangaa sana kwa Afrika yote, yaani tunao majirani ambao wamepigana miaka hadi miaka, Somalia, Sudan n.k. lakini sijawahi kuwaona kwenye barabara zetu wakiomba mba, lakini nyie wavivu wa kutupwa mna kila kitu ila taifa lenu pekee kw Afrika yote ndio watu wake wanavuka mpaka kwenda kuishi kama omba omba....
 
Kuomba omba ni hulka ya mtu,si unaona uhuru anavyohangaika[emoji38][emoji38]china,mara europe,mara USA.imagine rais anaomba kama yuko street.
 
Nchi imewashinda, full mikurupuko hadi watu wanaikimbia kwenda kuomba omba, huwa nashangaa sana kwa Afrika yote, yaani tunao majirani ambao wamepigana miaka hadi miaka, Somalia, Sudan n.k. lakini sijawahi kuwaona kwenye barabara zetu wakiomba mba, lakini nyie wavivu wa kutupwa mna kila kitu ila taifa lenu pekee kw Afrika yote ndio watu wake wanavuka mpaka kwenda kuishi kama omba omba....
Sawa zombie tumekusikia😂😂😣😂
 
Both E.A countries are sailing on the same boat so hakuna wa kumcheka mwenzie.
 
K

Kenya wanatia fola. Sisi huku omba omba tunawafukuza mitaani wao wana wapokea. Huoni system yao ya ovyo kabisa.
 
I think wamepanga runda,juu mna roho nzuri sana za kusaidia masikini nimesikia[emoji38][emoji38].

Kama bado wanaomba omba mnawapea hela ngapi isiyotosha mboga,nanyinyi DC citizens
Wewe. Hao omba omba kutoka Tz wanawalisha na kuwasomesha ndugu zao huko huko Bongo. Wanasema wakirudi home wanashindwa kuendeleza taaluma yao na inabidi waje tena Kenya 'kufanya kazi'.
 
Ndiyo maana nilishasema siwezi kumpa fedha ombaomba, bora nipeleke kwa wahitaji kama vituo vya yatima au wasiojiweza. Hawa jamaa ukiwakuta viti virefu baa huwezi kudhania ni ombaomba, wanazungusha raundi kama hawana akili nzuri...
 
Wewe. Hao omba omba kutoka Tz wanawalisha na kuwasomesha ndugu zao huko huko Bongo. Wanasema wakirudi home wanashindwa kuendeleza taaluma yao na inabidi waje tena Kenya 'kufanya kazi'.
Report inasema kuwa the Kunyas import them to come there. Wana fanya hiyo kazi ilikulisha some families za Kenya. Kila jioni kuna pesa hupatia hao wakenya wenye shida wanao wahifadhi. Kiufupi hao beggars wanafanya some family ziweze survive hapo Kenya. Huo nasikia ni mradi huko Kenya😂😂😂😂
 
Report inasema kuwa the Kunyas import them to come there. Wana fanya hiyo kazi ilikulisha some families za Kenya. Kila jioni kuna pesa hupatia hao wakenya wenye shida wanao wahifadhi. Kiufupi hao beggars wanafanya some family ziweze survive hapo Kenya. Huo nasikia ni mradi huko Kenya
Mmmh! Watanzania wenzao ndio wanawaleta huku Kenya na wengi wao wametupwa kororoni kwa kesi za human traficking ila omba omba wanazidi kuja tu. Kuna wale watatu mwaka huu walihukumiwa miaka 40 jela kwa kuwasafirisha watoto walemavu watz ,tena mayatima, ndio waje wawatumie kujitengenezea hela.
 
Back
Top Bottom