But budaa,those are beggars in nairobi,stop seeking for relief.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Your beggars, mumewajaza Nairobi hadi kero, guys uzeni makinikia muwaokoe hawa.
I think wamepanga runda,juu mna roho nzuri sana za kusaidia masikini nimesikia[emoji38][emoji38].
Kama bado wanaomba omba mnawapea hela ngapi isiyotosha mboga,nanyinyi DC citizensπ₯Ίπ₯Ί
Nchi imewashinda, full mikurupuko hadi watu wanaikimbia kwenda kuomba omba, huwa nashangaa sana kwa Afrika yote, yaani tunao majirani ambao wamepigana miaka hadi miaka, Somalia, Sudan n.k. lakini sijawahi kuwaona kwenye barabara zetu wakiomba mba, lakini nyie wavivu wa kutupwa mna kila kitu ila taifa lenu pekee kw Afrika yote ndio watu wake wanavuka mpaka kwenda kuishi kama omba omba....
Wanapita kimia kimiaπππMkuu naomba hii video uitunze,si unaona mpaka saa hii hamna aliyechangia??
Wafukuzeni... Fukuza....Your beggars, mumewajaza Nairobi hadi kero, guys uzeni makinikia muwaokoe hawa.
Sawa zombie tumekusikiaπππ£πNchi imewashinda, full mikurupuko hadi watu wanaikimbia kwenda kuomba omba, huwa nashangaa sana kwa Afrika yote, yaani tunao majirani ambao wamepigana miaka hadi miaka, Somalia, Sudan n.k. lakini sijawahi kuwaona kwenye barabara zetu wakiomba mba, lakini nyie wavivu wa kutupwa mna kila kitu ila taifa lenu pekee kw Afrika yote ndio watu wake wanavuka mpaka kwenda kuishi kama omba omba....
Both E.A countries are sailing on the same boat so hakuna wa kumcheka mwenzie.Nchi imewashinda, full mikurupuko hadi watu wanaikimbia kwenda kuomba omba, huwa nashangaa sana kwa Afrika yote, yaani tunao majirani ambao wamepigana miaka hadi miaka, Somalia, Sudan n.k. lakini sijawahi kuwaona kwenye barabara zetu wakiomba mba, lakini nyie wavivu wa kutupwa mna kila kitu ila taifa lenu pekee kw Afrika yote ndio watu wake wanavuka mpaka kwenda kuishi kama omba omba....
Kenya wanatia fola. Sisi huku omba omba tunawafukuza mitaani wao wana wapokea. Huoni system yao ya ovyo kabisa.Both E.A countries are sailing on the same boat so hakuna wa kumcheka mwenzie.
They are not beggars, they are investors, guys let them invest... πππYour beggars, mumewajaza Nairobi hadi kero, guys uzeni makinikia muwaokoe hawa.
Lets say they are parasites(kupe) that do not really benefit from the host.They are not beggars, they are investors, guys let them invest... πππ
Wewe. Hao omba omba kutoka Tz wanawalisha na kuwasomesha ndugu zao huko huko Bongo. Wanasema wakirudi home wanashindwa kuendeleza taaluma yao na inabidi waje tena Kenya 'kufanya kazi'.I think wamepanga runda,juu mna roho nzuri sana za kusaidia masikini nimesikia[emoji38][emoji38].
Kama bado wanaomba omba mnawapea hela ngapi isiyotosha mboga,nanyinyi DC citizens
Ndiyo maana nilishasema siwezi kumpa fedha ombaomba, bora nipeleke kwa wahitaji kama vituo vya yatima au wasiojiweza. Hawa jamaa ukiwakuta viti virefu baa huwezi kudhania ni ombaomba, wanazungusha raundi kama hawana akili nzuri...Wewe. Hao omba omba kutoka Tz wanawalisha na kuwasomesha ndugu zao huko huko Bongo. Wanasema wakirudi home wanashindwa kuendeleza taaluma yao na inabidi waje tena Kenya 'kufanya kazi'.
Report inasema kuwa the Kunyas import them to come there. Wana fanya hiyo kazi ilikulisha some families za Kenya. Kila jioni kuna pesa hupatia hao wakenya wenye shida wanao wahifadhi. Kiufupi hao beggars wanafanya some family ziweze survive hapo Kenya. Huo nasikia ni mradi huko KenyaππππWewe. Hao omba omba kutoka Tz wanawalisha na kuwasomesha ndugu zao huko huko Bongo. Wanasema wakirudi home wanashindwa kuendeleza taaluma yao na inabidi waje tena Kenya 'kufanya kazi'.
Mmmh! Watanzania wenzao ndio wanawaleta huku Kenya na wengi wao wametupwa kororoni kwa kesi za human traficking ila omba omba wanazidi kuja tu. Kuna wale watatu mwaka huu walihukumiwa miaka 40 jela kwa kuwasafirisha watoto walemavu watz ,tena mayatima, ndio waje wawatumie kujitengenezea hela.Report inasema kuwa the Kunyas import them to come there. Wana fanya hiyo kazi ilikulisha some families za Kenya. Kila jioni kuna pesa hupatia hao wakenya wenye shida wanao wahifadhi. Kiufupi hao beggars wanafanya some family ziweze survive hapo Kenya. Huo nasikia ni mradi huko Kenya