Zombies of Nairobi

Here is a fact that its a tanzanian from shinyanga smuggling beggars to nairobi,weka fact yako pia wacha heresay
 
Hali halisi ya Nairobi, Nasikitika sana kuona wa mama wako hali kama hiyo.
Afadhali waTz wote ni maskini wa wastani lakini si kama kenya maskini wakutupwa.
 
Kwa kweli this is so sad, lets show some compassion to others, hawa ni ndugu zetu Jamani,
Wakenya na Serikali ya Kenya, save these children,
 
Your beggars, mumewajaza Nairobi hadi kero, guys uzeni makinikia muwaokoe hawa.
Uwongo mtupu hao ni Kunyans, kwa uwongo wenu hata watu wenu pia mnawakataa, crazy psychopath walahi
 
Uwongo mtupu hao ni Kunyans, kwa uwongo wenu hata watu wenu pia mnawakataa, crazy psychopath walahi

Kila nchi inayo omba omba wake wa ndani, hata Kenya kunao omba omba wetu wa ndani, ila nyie ndio nchi pekee iliyofurika omba omba mpaka wanavuka mpaka kwenda kwenye nchi za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…