Zoom Tanzania WTF!!!!!!!!!! Is this right

mbwakachoka

Member
Joined
May 11, 2011
Posts
14
Reaction score
0
...nimetumbukia kwa mtandao wa ZOOM Tanzania kwenye job tanzania nikakutana na haya, sina uhakika kama ni sawa yalipowekwa au yalitakikwa kuweka kwenye database yao

*************************************************************************
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: promo-eventscalendar"]Browse the jobs in Tanzania below, or use the filter below to find jobs in a different category or city. To see all jobs currently available, go toTanzania Jobs and Employment.

You May Also Be Interested In
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Home > Tanzania Jobs & Employment > Seeking Employment > Professional > IT Systems & Network Administration

Filter listings by any combination of the fields below.

Location: -- Select an Area -- Dar Es Salaam Zanzibar Arusha Bagamoyo Dodoma Iringa Kigoma Mafia Mbeya Morogoro Moshi Mtwara Mwanza Pemba Tanga Other


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
nadhani hii ilitakiwa kuwekwa kwenye section ya employers waone hizo CV/cover letters na sio watafuta kazi
 
Unawalaumu Zoom kwa kuanika details za watu wakati huo huo ume kopi hizo details unazileta huku!!
 
means hawana ma admin?????? Wani pm niwasaidie!
 
ni makosa madogo madogo tu ya kiufundi,yaah wamechemsha lakn vp kuhusu vyote walvyopatia,mfano kukupa wewe a place ambayo unaweza kwenda ku angalia nafasi za kazi zilizotoka hapa bongo!?
 
Nililizungumzia suali hili hapa kama wiki tatu zilizopita na kuna watu wakabwabwaja utumbo tele hapa. I am glad kuna mwengine nae ameona makosa ya website hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…