Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwa hiyo, hiyo ambayo haina nguzo ni banda la kuhifadhia njiwa?Hiyo ya tofali, chini lazima ujenge kwa tofali za nchi sita, tena za kulala. Juu weka nchi tano hata zikisimama siyo mbaya!
Tofauti na hapo yaliyotokea Goba yanakuita...
Je hio ambayo haina nguzo inaweza kwenda juu floors nne zaidi?Zote hizi ni ghorofa
Maamuzi ni yako, ujenge ipi kutokana na mfuko wako.
- Nyingine imejengwa bila nguzo na bim (column & beam):- uzito wa slab unabebwa na matofari/ukuta
- Nyigine imejengwa kwa nguzo, bim, na slab (column, beam, slab) na baadaye itajaziwa matofari :- uzito wa slab unabebwa na nguzo na bim
View attachment 2039922
Nasubiri majibuJe hio ambayo haina nguzo inaweza kwenda juu floors nne zaidi?
Nyingi naona wanaishia moja au mbili, kwa nne sina uhakika inaweza kuleta changamotoJe hio ambayo haina nguzo inaweza kwenda juu floors nne zaidi?
Sekta ya ujenzi inakuwa kwa kasi sanaTechnology ya majengo pia imehama, siku hizi kuna gorofa zinajengwa na mega panels, tembelea YouTube kujua zaidi. Inakua hamna collum wala slab la nondo ni mwendo wa wire mesh
Kuna ujenzi mwingine kwenye slab wanaweka tofali zinaitwa Letice kama sijakosea.
Zote hizi zinawezekana inategemea na architect wako kama bado anajiendeleza na shule au anatumia vitini vya miaka ya 2000 huko