Ztto na milioni 18

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
333
Reaction score
90
Wakuu!leo katika gazeti la mwananchi imeandikwa habari ya zitto kutangaza mali zake zote.Habari hii inasomeka kuwa Zito amesema anamiliki jumla ya 18 millioni,nyumba 2 zenye thamani ya shilingi millioni 223,Rand Rover yenye thamani ya 74 milioni,kiwanja na mashamba katika maeneo ya Kigamboni,dar es salaam,Mwandiga,mtwara na Kigoma yenye jumla ya hekari 24.
 
Mood samahani nimeipost huku kimakosa nisaidieni kuipeleka jukwaa la siasa.Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…