Zuber Katwila toka Mtibwa kwenda Ihefu yuko sawa?

Zuber Katwila toka Mtibwa kwenda Ihefu yuko sawa?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Aliyekuwa kocha wa Mtibwa sugar amejiuzulu nafasi yake na kuamua kuhamia timu ya Ihefu Fc ya mbarali.

Je, unaonaje huko kuhama?

Zuber kapatia ama kapotea?
 
Duuuh! anyway ni Maamuzi yake lakini isiwe nawe unaandika kama tetesi tu maana tayari Ihefu FC imemuajiri Kocha Mayanja
 
Kuna watu hupenda kuprove wrong mitazamo ya wengine.... kama ameenda kufanya hivyo ili kuthibitisha uwezo wake wa kufundisha, yuko sahihi, nadhani ni vizuri pia ili kujiwekea nafasi nzuri ya kutambulika zaidi endapo matokeo yatakuwa mazuri kwa timu,,, itamuweka katika nafasi nzuri kama kocha.

akivurugwa matokeo yakiwa hovyo, basi itakuwa swala jingine.
 
Back
Top Bottom