mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Naona mwadui sio mbaya sanaTimu zote zililizokuwa zinasua sua msimu uliopita wameanza vibaya msimu huu.
Sio ishu ya hela kweli?Mtibwa sugar imekoswa kushuka daraja afu pia inasusua kwenye matokeo,nafikiri ni presha ndo ameamua kujiuzulu
Wamejifunza hao...hawa wengine naona bado somo halijaingiaNaona mwadui sio mbaya sana
Ni zuber kakaDuuuh! anyway ni Maamuzi yake lakini isiwe nawe unaandika kama tetesi tu maana tayari Ihefu FC imemuajiri Kocha Mayanja
Kama kuna maslahi zaidi, aende tu!Aliyekuwa kocha wa Mtibwa sugar amejiuzulu nafasi yake na kuamua kuhamia timu ya Ihefu Fc ya mbarali.
Je, unaonaje huko kuhama?
Zuber kapatia ama kapotea?