MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Ni kweli, maneno mengi na kupenda misifa.Kocha anaekuja habadilishi kitu maana tatizo lipo kwa tajiri maneno
Jamaa anazingatia maokoto hayo memgine sio kazi yake nilishangaa kuona mo eti nimetoa bilioni kadhaa kwa usajili msije sema sjatoa pesa dah inamaana anahisi mchango wake hautambuliki mpka aseme kwenye mitandao mo ni zimwi la pale simbaNi kweli, maneno mengi na kupenda misifa.
Hajifunzi kwa yule GSM daah aisee yuko humble sana yule jamaa kama sio tajiri.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
[emoji3] mo kama mzaramo aisee mara atishie kuondokaJamaa anazingatia maokoto hayo memgine sio kazi yake nilishangaa kuona mo eti nimetoa bilioni kadhaa kwa usajili msije sema sjatoa pesa dah inamaana anahisi mchango wake hautambuliki mpka aseme kwenye mitandao mo ni zimwi la pale simba
huyu ndo hafiki hata 9 desemba...Fundi wa mpira na Mbabe wa soka aliyenoa vilabu vingi nchini kutoka Ihefu fc,Zuberi Katwila anatazamiwa kutangazwa kuwa kocha mkuu wa club ya Simba yenye makazi yake Msimbazi, Kariakoo.
Inasemekana pande zote mbili wameshafanya makubaliano na tayari kocha huyo wa vikombe amekabidhiwa timu kwa ajili ya michuano inayokuja ikiwemo mchezo wa CAFCL dhidi ya ASEC MIMOSAS hapo kesho.
Kama ni kweli,ninaanza kuwaona viongozi wa Simba wameanza kutumia akili.Fundi wa mpira na Mbabe wa soka aliyenoa vilabu vingi nchini kutoka Ihefu fc,Zuberi Katwila anatazamiwa kutangazwa kuwa kocha mkuu wa club ya Simba yenye makazi yake Msimbazi, Kariakoo.
Inasemekana pande zote mbili wameshafanya makubaliano na tayari kocha huyo wa vikombe amekabidhiwa timu kwa ajili ya michuano inayokuja ikiwemo mchezo wa CAFCL dhidi ya ASEC MIMOSAS hapo kesho.