crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Msanii wa muziki kutoka WCB wasafi, Zuchu amefikisha followers million 1 ndani ya miezi minne tu tangu kutambulishwa rasmi katika label hiyo kubwa Afrika Mashariki na kati.
Zuchu pia ana subscribers laki tatu katika account yake ya YouTube ambayo imefikisha viewers million 36 akiwaacha mbali wasanii wenzake waliotambulishwa kipindi kimoja.
Zuchu pia amefanikiwa kufikisha streams million 3 katika boomplay katika kipindi hiki kifupi akiwa na nyimbo 5 tu;kwaru, raha, wana, nisamehe na hakuna kulala na kuwaacha mbali wasanii wengi wakongwe katika digital platforms za kusikiliza muziki.
Tofauti na wasanii wengi wa kike nchini, Zuchu ni msanii anaye andika nyimbo zake mwenyewe.
Hivyo niipongeze management ya WCB Wasafi chini ya Diamond Platnumz kwa namna wanavyokuza wasanii ikiwamo huyu Zuchu.