Dong Jin
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 968
- 2,034
Zuchu na harmonize waliachia nyimbo zao siku moja huko youtube
Lakini katika hali ya kushangaza views za Harmonize zilionekana kupaa ghafla kwa speed ya light ๐ ๐ ๐ mpaka watu tukawa tunashangaa imekuwaje?
Sasa ni wiki nne kamili zimepita toka waachie nyimbo zao na kwa hali isiyo ya kawaida roboti sijui zimeharibika? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ maana moto alopelekewa huko si wa kitoto