Zuchu amkimbiza vibaya mno Harmonize licha ya kutumia maroboti

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Zuchu na harmonize waliachia nyimbo zao siku moja huko youtube

Lakini katika hali ya kushangaza views za Harmonize zilionekana kupaa ghafla kwa speed ya light πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mpaka watu tukawa tunashangaa imekuwaje?

Sasa ni wiki nne kamili zimepita toka waachie nyimbo zao na kwa hali isiyo ya kawaida roboti sijui zimeharibika? 🀣🀣🀣 maana moto alopelekewa huko si wa kitoto
 
Sasa mbona wote wapo views milioni 6+kwa 6+?
 
Kama harmonize anatumia robots wewe unapungukiwa na nini ndugu yangu?
 
Wote hao watu wa mariboti..mtoto wa kike na marorboti ya bosi wake,mmakonde nae anayo kama yote siku hizi[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…