Zuchu ana asili ya unene au wembamba?

Zuchu ana asili ya unene au wembamba?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
1662145644980.png


Wapinzani wake wanasema kuwa anatumia juhudi nyingi sana za mazoezi na kujizuia kula ili asinenepe. Kweli ni mnene anayejikondesha ama ni kimbau mbau wa asili?
 
Huyu Ni mnene kiasili,
Mwangalie mama yake khadija
Mwangalie zuchu Kichwa na mashavu,
Haviendani kabisa na sehem nyngn za mwili
 
Back
Top Bottom