Zuchu anajua kuimba kuliko Alikiba?

Zuchu anajua kuimba kuliko Alikiba?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Jamani nashangaa kuona hili hivi mnasema alikiba hajui kuimba kuliko zuchu?

nyimbo ya alikiba salute ya mwezi huu imekata vizuri tu.

na hii ya bibie inaitwa nyumba ndogo kazi kwenu nani mkali
 
Nyimbo zote nzuri kama ukiacha chuki. Haya mambo mengine hayasaidii kitu chochote kwenye Jamii. Halafu wabongo wengi wako hivi, majungu ndio yangekuwa yanaingiza pesa, Tanzania yetu saa hizi ni bab kubwa kuliko hata Marekani
 
Hivi nimewahi kuwahadithia kuna mshkaji alikosea namba mi nikajua ni mchuchu niliotoka kuupa namba halafu mshkaji akawa anajua ni mchuchu anaoufukuzia? Bado?
 
Hivi nimewahi kuwahadithia kuna mshkaji alikosea namba mi nikajua ni mchuchu niliotoka kuupa namba halafu mshkaji akawa anajua ni mchuchu anaoufukuzia? Bado?
Dah [emoji23][emoji1787]
 
Zuchu anafatiliwa sana east africa kwa upande wa soko la muziki wa wanawake yupo juu,
 
Jamani nashangaa kuona hili hivi mnasema alikiba hajui kuimba kuliko zuchu?

nyimbo ya alikiba salute ya mwezi huu imekata vizuri tu.

na hii ya bibie inaitwa nyumba ndogo kazi kwenu nani mkali
Kiba kamshinda mind vieus tuambie maoni yako na apo
 
Viwers wa zuchu ndio wa kiba huwez nambia phone yako ina song za mmoja ni upumbavu wa kipumbavu
 
Wote wanajitahidi...

Naona unajaribu kuwatafutia viewers...
 
Kwa hiyo wamekudharau yaani umedharaulika okay umejidharau au umedharauliwa tusema unadharaulika lakini mbona kama wanakudharau???
Weee acha domo hilo niwewe unanidharau nasipendi.
Kama wewe hujapiga hatua mimi nimepiga.
1.mimi ni mke wa Mr fulani
2.Nafamilia na pia ni mama kama huwezi kuwa na heshima please jaribu kutafuta wasaizi yako mnaranda sifa sipendi kurandana na watoto ambao bado hawajitambui,hawana majukumu.
Mimi sio saizi yako mie sio single
 
Kwa hiyo wamekudharau yaani umedharaulika okay umejidharau au umedharauliwa tusema unadharaulika lakini mbona kama wanakudharau???
Hujui heshima nini,
Hujui neno lakusema kwa nani na wapi.
Upogi tu na hicho kitecno chako unaandika upupu.
Try someone else please.
Lasivyoo usinipushi nifukue makaburi long agenda kukuonyesha tumemove on sina muda nawewe.
 
Back
Top Bottom