Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu.
Ni wazi kuwa tangu mwaka huu uanze Zuchu hana any solid projects kwenye catalogue.
Nyimbo zote ambazo amekuwa akitoa, zinahit kidogo Tiktok, baada ya mwezi zinapotea.
Hii taarifa yake kwamba ameachana na Diamond its an obvious showbiz prank ili kuteka attention ya mashabiki.
Everytime Zuchu akiwa anataka kufanya jambo lake amekuwa akitumia hii kiki ya kuachana na huyo Diamond ili apate attention ya mashabiki.
Its all showbiz.