zuchu si alishapewa talaka?Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, ametoa onyo kali kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni simu za usiku wa manane zinazopigwa kwa mumewe Diamond Platnumz.
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Zuchu ameandika, "I just donβt understand why someone would call a married man usiku wa manane like very late in the night. Donβt you know he has a wife????" ("Sielewi kwa nini mtu anampigia mwanaume aliyeoa usiku wa manane yani usiku sana. Hujui kwamba ana mke??")
Zuchu ameendelea na kusema kuwa kama unajijua jina lako linaanziwa na herufi "A", acha kumpigia mume wake.
Hatari sana πA for Aaliyaah
Z for Zuchu
N for Naseeb
Kuna watu hii ya mwili mmoja wanaifanyia komoa π€£π€£ she's too attached to him. Hata muwe mnapendana vipi always kumbuka you have a life to live. Sasa kenyewe kamekariri mpaka herufi za mwanzo za wanoompigia huyo "mumewe" usiku wa manane.πππ yaani mimi niache kulala muda huo, nianze kukesha na simu ya mtoto wa mama mkwe nikicheki nani atapiga π€£π€£π€£
Kazi anayo kwa kweli π€£π€£π€£ anajitesa bureKuna watu hii ya mwili mmoja wanaifanyia komoa π€£π€£ she's too attached to him. Hata muwe mnapendana vipi always kumbuka you have a life to live. Sasa kenyewe kamekariri mpaka herufi za mwanzo za wanoompigia huyo "mumewe" usiku wa manane.