Tea Party
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 658
- 1,133
Last born kutokea WCB anaendelea kutikisa nyavu za Bongo Fleva baada ya kutengeneza rekodi mpya huko Boomplay.
Ile EP yake ya I AM ZUCHU imeshafikisha streams Milioni 10 Kwenye App Ya Boomplay.
Kwa Afrika mashariki hakuna Album wala EP iliyowahi kufikisha streams hizo ndani ya Boomplay. Sio Bosi wake Diamond wala Konde alishawahi kufikisha that number of streams kupitia album.
Swali ambalo najiuliza ni je Zuchu ataweza kuvunja rekodi yake mwenyewe?