Wakala wake umeandika vyema sanaLast born kutokea WCB anaendelea kutikisa nyavu za Bongo Fleva baada ya kutengeneza rekodi mpya huko Boomplay.
Ile EP yake ya I AM ZUCHU imeshafikisha streams Milioni 10 Kwenye App Ya Boomplay.
Kwa Afrika mashariki hakuna Album wala EP iliyowahi kufikisha streams hizo ndani ya Boomplay. Sio Bosi wake Diamond wala Konde alishawahi kufikisha that number of streams kupitia album.
Swali ambalo najiuliza ni je Zuchu ataweza kuvunja rekodi yake mwenyewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi ndoto zenu za mchana, muwage mnazikatisha kwani lol, mtakuja mjikojolee huku mnatembea lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zuchu baada ya two years from now atakuwa msanii mkubwa wa kike Africa. Yani itakuwa ukitaja wasanii wazito Africa wa kike sijui Yemi sijui Tiwa na Zuchu atakuwa kwenye hiyo list.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi ndoto zenu za mchana, muwage mnazikatisha kwani lol, mtakuja mjikojolee huku mnatembea lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Andika vizuri bas, papara za nini? Haya kunywa maji mengi na upumzike.Labda Kama hupendi vya. Nyumbani ndo hutabisha na kumbuka hapo zuchu bado hajaanza international collabo zaid ya zile mbili halizofanya na joeboy na olakira
Nilichoandika hapa sio ndoto, Zuchu projection yake inaonyesha hivyo ana vitu vikubwa sana vinakuja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi ndoto zenu za mchana, muwage mnazikatisha kwani lol, mtakuja mjikojolee huku mnatembea lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayuko vizuri kwenye international collabos, ila akisimama mwenyewe kwenye ngoma yule mtoto ni laanaLast born kutokea WCB anaendelea kutikisa nyavu za Bongo Fleva baada ya kutengeneza rekodi mpya huko Boomplay.