Zuchu awa msanii wa kwanza wa kike Afrika Mashariki kufikisha wasikilizaji milioni 7 Boomplay

Zuchu awa msanii wa kwanza wa kike Afrika Mashariki kufikisha wasikilizaji milioni 7 Boomplay

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Muimba taarabu anayezid kujiwekea rekodi mbalimbali

Juzi amefikisha subscribers laki 5.
Amefikisha watazamaji MILLION 55 YouTube.
Amekuwa ontrending said ya mwezi sasa.
EP yake inaongoza kwa mauzo boomplay.

Screenshot_20201022-084205_Instagram.jpg
 
na bado, kwa mwezi huu anaweza kuwa kamzidi hata mond kwa watazamaji.! ngoja tuwasubiri swahili times
 
Back
Top Bottom