Zuchu kuendelea kumburuza Ali Kiba, hii ina maana gani?

Zuchu kuendelea kumburuza Ali Kiba, hii ina maana gani?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Kwa msanii mkongwe kama Ali Kiba kushindwa kumpiku Zuchu ni aibu kubwa sana.
Inamaana Zuchu amekuwa mkubwa kuliko Ali Kiba?
Ni maswali tu wanayojiuliza wataalam wa mambo ya muziki.
IMG_20210629_100128.jpg
 
Kwa msanii mkongwe kama Ali Kiba kushindwa kumpiku Zuchu ni aibu kubwa sana.
Inamaana Zuchu amekuwa mkubwa kuliko Ali Kiba?
Ni maswali tu wanayojiuliza wataalam wa mambo ya muziki.
View attachment 1834372
Umekosa premises za kupambanisha.

Moja ni video na nyingine ni Audio!!

Moja ina wiki 1 nyingine siku 4.
 
Tayari King Kiba amerudi sehemu yake #1 Trending 👑🤣
 
Zuchu ni mnyama aiseee! toto linajua mpaka linakera... yaan zuchu ndo wakumfanya kiba atoe ngoma mbili kwa mpigo kushindana na ngoma moja ambayo bado inamkalia shingoni?

one woman army against kikundi cha waimba ndombolo, na rude boy juu
 
Yan zuchu huyu muimba taarabu na mipasho ndo ashindane na kiba? Nandy hajamfikia bado, [emoji23][emoji23][emoji23]
Chawa was domokaya wamevurugwa na hawaelewi lol.
 
Back
Top Bottom