Zuchu kuendelea kumburuza Ali Kiba, hii ina maana gani?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Kwa msanii mkongwe kama Ali Kiba kushindwa kumpiku Zuchu ni aibu kubwa sana.
Inamaana Zuchu amekuwa mkubwa kuliko Ali Kiba?
Ni maswali tu wanayojiuliza wataalam wa mambo ya muziki.
 
Kwa msanii mkongwe kama Ali Kiba kushindwa kumpiku Zuchu ni aibu kubwa sana.
Inamaana Zuchu amekuwa mkubwa kuliko Ali Kiba?
Ni maswali tu wanayojiuliza wataalam wa mambo ya muziki.
View attachment 1834372
Umekosa premises za kupambanisha.

Moja ni video na nyingine ni Audio!!

Moja ina wiki 1 nyingine siku 4.
 
Kwa case ya views nngekuunga mkono kwamba Zuchu ameiweka mda mrefu kuliko Kiba , ila kwa case ya trend kipya ndicho hutrend kuliko kilichotangulia.
Umemaliza kila kitu...Kiba kamshindwa Zuchu
 
Tayari King Kiba amerudi sehemu yake #1 Trending 👑🤣
 
Zuchu ni mnyama aiseee! toto linajua mpaka linakera... yaan zuchu ndo wakumfanya kiba atoe ngoma mbili kwa mpigo kushindana na ngoma moja ambayo bado inamkalia shingoni?

one woman army against kikundi cha waimba ndombolo, na rude boy juu
 
Yan zuchu huyu muimba taarabu na mipasho ndo ashindane na kiba? Nandy hajamfikia bado, [emoji23][emoji23][emoji23]
Chawa was domokaya wamevurugwa na hawaelewi lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…