Zuchu kuendelea kumburuza Ali Kiba, hii ina maana gani?

Naona Zuchu anakuja kasi na nyumba ndogo yake, bado kidogo salute inakalishwa
 
Kwa msanii mkongwe kama Ali Kiba kushindwa kumpiku Zuchu ni aibu kubwa sana.
Inamaana Zuchu amekuwa mkubwa kuliko Ali Kiba?
Ni maswali tu wanayojiuliza wataalam wa mambo ya muziki.
View attachment 1834372
Zuchu ana wiki anatizamwa, Kiba ana siku 4 tu.....ushapiga hesabu hapo? Usikimbilie kunya tu ili umfuarhishe Diamond na genge lake.
 
Kweli sisi wapunbavu hiyo YouTube inachezewa na robot..Salute inatrend Nigeria kwenye top 10 radio kubwa za kule unafananisha na ushunbwanda😂😂😂😂
 
Nyumba Ndogo - 3,690k+ views
Vs
Salute - 3,686k+ views
kila mtu akae panapostahili,
let the heavyweight female musician in Tz reign the show... one woman army!
 
Kweli dunia ipo speed sana, watu walishachoka kumpambanisha mfalme kiba na simba diamond?
Leo hii mfalme anashindanishwa na zuchu, daah!
Hii mijadala enzi nipo chuo, tulikuwa hatulali kwa ubishani mpaka mshindi apatikane, kati ta diamond na kiba
 
umeona pa kupumulia?

Diamond haingii kwa zuchu!!!

angalia utube jealous inamfanya nini iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…