Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Hatimaye zamu ya Zuchu imewadia.

Mtoto wa Khadija Kopa rasmi sasa kutambulishwa Wasafi.

Amekaa benchi kwa miaka karibu mitano.

Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee.

Tanzania inaenda kupata malkia mpya wa bongofleva.

Hongera Wasafi hongera Tanzania.

/////////////////////////////////////////////////////////

Baada ya utambulisho rasmi.

Mtazame na usikie kipaji chake mtoto Zuchu.

Enjoy!

Hatimaye zamu ya Zuchu imewadia.

Mtoto wa Khadija Kopa rasmi sasa kutambulishwa Wasafi.

Amekaa benchi kwa miaka karibu mitano.

Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee.

Tanzania inaenda kupata malkia mpya wa bongofleva.

Hongera Wasafi hongera Tanzania.
We umejuaje huyo msanii watakaomtambulisha WCB Ni zuchu? Maana WCB hawajasema Ni msanii gani
 
Hatimaye zamu ya Zuchu imewadia.

Mtoto wa Khadija Kopa rasmi sasa kutambulishwa Wasafi.

Amekaa benchi kwa miaka karibu mitano.

Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee.

Tanzania inaenda kupata malkia mpya wa bongofleva.

Hongera Wasafi hongera Tanzania.
wanachonikera WCB yani hata wamtambulishe jiwe atakua super staa tu
 
Mpaka sasa hakuna picha ya Zuchu aah vibaya hivyo Shekh.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Ndo huyu au?
images%20(6).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom