mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
She has an amazing talent, acha niseme wakati tukisubiri muda nao useme.Mapema sana kumlinganisha na hao wasanii wa kike,ndio kwanza anaanza so acha tuuachie muda ,kwani muda wenyewe utaongea.
Nakuona upo adimu Sana kwenye jukwaa hili la celebritysuma kopa aliishia wapi kwenye industry ya muziki?
watoto wa chatu ni chatu wa kigwangwala
good morning,Nakuona upo adimu Sana kwenye jukwaa hili la celebrity
Me nipo good mzee.good morning,
how are you mr waclean
We umejuaje huyo msanii watakaomtambulisha WCB Ni zuchu? Maana WCB hawajasema Ni msanii ganiHatimaye zamu ya Zuchu imewadia.
Mtoto wa Khadija Kopa rasmi sasa kutambulishwa Wasafi.
Amekaa benchi kwa miaka karibu mitano.
Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee.
Tanzania inaenda kupata malkia mpya wa bongofleva.
Hongera Wasafi hongera Tanzania.
wanachonikera WCB yani hata wamtambulishe jiwe atakua super staa tuHatimaye zamu ya Zuchu imewadia.
Mtoto wa Khadija Kopa rasmi sasa kutambulishwa Wasafi.
Amekaa benchi kwa miaka karibu mitano.
Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee.
Tanzania inaenda kupata malkia mpya wa bongofleva.
Hongera Wasafi hongera Tanzania.
Huyohuyo.
@OfficialZuchu account yake official haina followers hata 5K.