Zuchu kuwashitaki mashabiki walomtupia chupa Mbeya

Zuchu kuwashitaki mashabiki walomtupia chupa Mbeya

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Katika hali isiyo ya kawaida kwenye tasnia ya bongo na hasa bongoflava ambayo ilionekana kuchukua mashabiki wengi wa nchi hii na nchi jirani.

Mwanamuziki wa Wasafi Media Zuchu ambaye siku kadhaa zilizopita alipatwa na taharuki baada ya kurushiwa chupa za mkojo na mashabiki mkoani Mbeya, ameonekana akizungumza na wanasheria wake ili kupata bite~off ya kuwashtaki mahakamani mashabiki hao kwa udhalilishaji na fujo katika eneo la biashara.

Mshangazi
 
si unaona hata maandishi yako umekaa kama nyumbu nyumbu fulani hivi!.. anyway tuyaache hayo haujambo..?

Mambo ya "ujambo" yako PM. Hapa ni kujadili mada iliyopo mpaka tujue Zuchu analipwa sh ngapi ili na sie wengine tukajaribu kuimba vibaya mbele za watu ili waturushie chupa tuwashtaki tupate pesa tuache BIASHARA ndogondogo
 
Back
Top Bottom