covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 6,967 Reaction score 17,452 Nov 14, 2023 #2 sinza pazuri said: View attachment 2813220 Click to expand... Alfu hata haringiii. Ila hizo nchi nyingine kama Nigeria nahisi bundles kwao ni ghali maana wakiamu ni single day tu wanafikisha 10 million subscribers.
sinza pazuri said: View attachment 2813220 Click to expand... Alfu hata haringiii. Ila hizo nchi nyingine kama Nigeria nahisi bundles kwao ni ghali maana wakiamu ni single day tu wanafikisha 10 million subscribers.
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Nov 14, 2023 #3 covid 19 said: Alfu hata haringiii... Ila hizo nchi nyingine kama Nigeria nahisi bundles kwao ni ghali maana wakiamu ni single day tu wanafikisha 10 million subscribers. Click to expand... "Wakiamua" Hii sio kampeni au maamuzi ni matokeo ya maisha ya kila siku.
covid 19 said: Alfu hata haringiii... Ila hizo nchi nyingine kama Nigeria nahisi bundles kwao ni ghali maana wakiamu ni single day tu wanafikisha 10 million subscribers. Click to expand... "Wakiamua" Hii sio kampeni au maamuzi ni matokeo ya maisha ya kila siku.
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,344 Reaction score 9,066 Nov 14, 2023 Thread starter #4 covid 19 said: Alfu hata haringiii. Ila hizo nchi nyingine kama Nigeria nahisi bundles kwao ni ghali maana wakiamu ni single day tu wanafikisha 10 million subscribers. Click to expand... Zuchu anafukuza mwizi kimya kimya siku wakigutuka kafika mbali sana. Watanzania tupo active sana mtandaoni ni potential ambayo tunaichukulia poa.
covid 19 said: Alfu hata haringiii. Ila hizo nchi nyingine kama Nigeria nahisi bundles kwao ni ghali maana wakiamu ni single day tu wanafikisha 10 million subscribers. Click to expand... Zuchu anafukuza mwizi kimya kimya siku wakigutuka kafika mbali sana. Watanzania tupo active sana mtandaoni ni potential ambayo tunaichukulia poa.
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Nov 18, 2023 #5 covid 19 said: Alfu hata haringiii. Ila hizo nchi nyingine kama Nigeria nahisi bundles kwao ni ghali maana wakiamu ni single day tu wanafikisha 10 million subscribers. Click to expand... Nigeria wapo watu 200mil+ , na bundles ni far cheaper
covid 19 said: Alfu hata haringiii. Ila hizo nchi nyingine kama Nigeria nahisi bundles kwao ni ghali maana wakiamu ni single day tu wanafikisha 10 million subscribers. Click to expand... Nigeria wapo watu 200mil+ , na bundles ni far cheaper