sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa East and Central Africa. Lakini hii sio point yangu kwa leo.
Zuchu ndio msanii wa kike anaeweza kusimamisha jiji la Dar es Salaam na likatii amri kwa kifupi hana mpinzani.
Nyota yake inazidi kuwa kali kila kukikucha.
Katoa album kali sana sijui mara ya mwisho msanii wa kike kutoa album iliyopokelewa kwa ukubwa huu ni lini yani album mpaka watoto wanaimba mstari baada ya mstari wimbo baada ya wimbo.
Jana lile balaa alilofanya sinza sijui ni nani anaweza kubali kuchezea moto wa Zuchu.
Zuchu ni mkubwa saaaana tumuache atambe