sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Ni Yule aliyetupiwa chupa za maji Mbeya au ameibuka mwingine halafu hatujui?Zuchu ndio msanii wa kike anaeweza kusimamisha jiji la Dar es Salaam na likatii amri kwa kifupi hana mpinzani.
Mbeya wamejaa wavaa kanyelamumu na mawani mapana...Ni Yule aliyetupiwa chupa za maji Mbeya au ameibuka mwingine halafu hatujui?
Jikite kwenye mada. Acha roho mbayaShemeji mshahara wako una koma ngapi? Kama ni moja kazana sana na kazi acha majungu
Huyo huyo uku mjini watu wanaenda kwenye starehe kufurahia sio kuonesha stress zao za maisha. Uku mjini hakuna unyani watu wanainjoi maishaNi Yule aliyetupiwa chupa za maji Mbeya au ameibuka mwingine halafu hatujui?
Onesha mawani ya zuchu na mawani ya wakazi wa mbeya tulinganisheMbeya wamejaa wavaa kanyelamumu na mawani mapana...
Hawawezi kumjua msanii mzuri.
Hivi wewe dogo utajielewaga lini bado unaamini vitu vya ajabu ajabuNi kweli kwenye ile video yake ya antena naona anamtukuza Lucifer wazi wazi anafaa kabisa kuisimamisha dar es Salam.
Nishalipwa haya sasa jinyongeUnapiga debe ili ulipwe eti??!! Eti asimamishe dar😂🤣🤣🤣watu wengine bhana😁😁😂😂🤣🤣🤣
Vitu vya ajabu vya kina p didy kwa hyo ww umevizoea mkuu hongera.Hivi wewe dogo utajielewaga lini bado unaamini vitu vya ajabu ajabu