Zuchu nguo za uchi zitakumaliza

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
1,576
Reaction score
3,094
Nasikitika Sana kukuona Dada yangu mziki unavyokupoteza mpaka unavaa nguo zisizo na staha.

Mbaya zaidi wewe ni muislamu na waislamu wenzako wanavaa Kwa staha. Am so Disappointed .

Why why why unateseka kujificha ficha na hako kapochi mwangalie Diamond alivyovaa vizuri very comfortable.

 
Wewe vaa za staha, yeye muache avae nguo anazotaka yeye.

Wewe ukivaa za staha inatosha.

Usitake watu waishi wewe unavyotaka, wapangie maisha unaowalisha na kuwavisha. Mtu humlishi, humvishi na huna msaada wowote kwake halafu unataka umpangie avae nini, avaeje.

Huo uislamu wewe unaweza kuufanya ama kuutekeleza yeye muache atekeleze anavyoona inamfaa. Kwani amekwambia anataka kwenda mbinguni?
 
Kumbuka huyu alikataa kufanya tangazo la pombe kisa ye Muslim pombe kwake haramu.

Ila hicho alichokivaa ni kitu gani?
 
Kumbuka huyu alikataa kufanya tangazo la pombe kisa ye Muslim pombe kwake haramu.

Ila hicho alichokivaa ni kitu gani?
Dini inaruhusu uchague dhambi ya kufanya na ambayo sio ya kufanya so bado yuko sahihi kuchagua kutotangaza pombe ila bado akachagua kupigwa miti na kuliwa utamu. Bado hakuna alichokosea kwa mtazamo wa kidini na kisheria za nchi.
 
Ni msanii wa nyimbo za kidunia na umri wake unamruhusu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…