MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Msanii Zuchu kutoka Zanzibar amesema anafurahi sana kutimiza moja ya ndoto zake za utotoni kwa kufanikisha kujenga msikiti maeneo ya Paje.
''Msikiti huu utakuwa msaada kwa wakazi wa maeneo hayo maana hutembea umbali mrefu, mashallah ukikamilika nitawakaribisha kuja'', alidai Zuchu.
''Msikiti huu utakuwa msaada kwa wakazi wa maeneo hayo maana hutembea umbali mrefu, mashallah ukikamilika nitawakaribisha kuja'', alidai Zuchu.