Zuchu: Ninajenga msikiti Paje

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Msanii Zuchu kutoka Zanzibar amesema anafurahi sana kutimiza moja ya ndoto zake za utotoni kwa kufanikisha kujenga msikiti maeneo ya Paje.

''Msikiti huu utakuwa msaada kwa wakazi wa maeneo hayo maana hutembea umbali mrefu, mashallah ukikamilika nitawakaribisha kuja'', alidai Zuchu.

 
Badala ya kujenga shule au hospital anajenga msikiti ambao atapigwa madongo hatoamini na huo msikiti watakaoenda ni wanafiki, watu wanaojua maudhui ya Islam na namna hiyo pesa imepatikana watalaani hadi basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha noma sana, ma-imam wako kimaslahi tu

Mwisho Mwampamba alijenga msikiti kwa fedha za 'bigi buraza' 😀
 
Kwa hiyo binti anakatika, anaonyesha maungo yake ta siri, anauza nyapu na kupigwa miti, akivuna pesa anakwenda kujenga msikiti!

Laana kubwa hii.
 
Ajenge maabara shuleni watu wajifunze maarifa
 
🤣🤣🤣🤣🤣 bado ka akili chako kadogo sana wala hujang'amua nilichoanfika.

Subiria ukue kidogo ndipo ujibu post za wanaume.
Mimi sio mvaa kobazi na suruali za watoto kwa taarifa yako
 
Maiba mzitoo huu ndugu zangu waislamu
 
Leo Padri ametufundisha kutohukumu. Kawaambia wanakwaya wasijaribu kumzuia mwanamke kujiunga kwaya kwa sababu wanamwita Malaya. Yawezekana akiingia kwaya atakuwa kioo cha jamii huko mbeleni.
Zuchu pia tusimhukumu, kwa kivuli cha dini za kuletwa.
Swali la ufahamu: mbona kama anakaribia kumwacha jejejejeje bila matokeo kama warembo wengine walivyomuacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…