Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
Kiba amenuna anadai zuchu anataka kukalia kiti chake cha enziKwani Mfalme Kiba anasemaje?
Upo uko online bro[emoji28]Weka huo wimbo hapa
Noooooma aisee, nimeuweka on unending replayUpo uko online bro[emoji28]
CHINGA ONE, UKO SAHIHI SANAJobless ndio wako bize na hizo nyimbo za kiwaki!!
Hayupo sahihi kabisaCHINGA ONE, UKO SAHIHI SANA
Saweni mabroSawa zuchu tumekuelewa Ila Beat zuri idea ya wimbo ni nzuri Ila unaimba kwa makelele
wazee wa harakati tuko bize na kusaka dooJobless ndio wako bize na hizo nyimbo za kiwaki!!
Unaitwaje huo wimbo?