donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Haka katoto mwanzoni nlikua nakchukulia POA Ila hii ngoma ya Sukari aisee Ni [emoji91] [emoji91], dzain kapita Kama maua Sama na iokote. Bravo https://youtu.be/E2mJ-w_sZ2Q
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aiseeanakuja vizuri
Apia?Katoto cha mwaka 1990
HakyamamaApia?
Kumbe mkongweHakyamama
Kumbe mkongwe
2000's haka.Katoto cha mwaka 1990
Me naikubali sauti yake ana sauti tamu Sana kusikilizaSio kuondika tu...
Pia anaweza kutawala jukwaa vizuri,
🐸😋
Kabisa mkuu kanajua
Ma mende utawajua tu [emoji2][emoji2][emoji2]Sio kuondika tu...
Pia anaweza kutawala jukwaa vizuri,
[emoji196][emoji39]
Mkuu mi kila SAA naweka replay ukiishaNilipoona jina la song sikuwa na mzuka wa kucheki ila baada ya kuanza kuisikia Huu wimbo ukipigwa kwa jinarani yangu nikaanza kuupenda taaratibu ila niliukubali Jana aisee kwenye daladala Ni wimbo mzuri
Sikupingi mkuuMe naikubali sauti yake ana sauti tamu Sana kusikiliza
Mkuu hapo nakuongezea na 3 zingine ni hatareeSikupingi mkuu