donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
-
- #41
Aisee ngoja nianze kumfuatilia rasmiMkuu hapo nakuongezea na 3 zingine ni hataree
Zuchu-Hakuna Kulala
2:Zuchu Ft Mboso-Ashua
3:Zuchu Raha...
Hutojutia mkuu...lakin kuna bonus nakupa uende nayo
Rayvanny ft Zuchu-Number One:
Kama ni hivo ana 31
Huyu sio mtoto kaman
Kumbe na ww unamdaiAisee ngoja nianze kumfuatilia rasmi
Wewe hata kucrack Da Vinci's code usingeweza kabisa. Watu tunasikiliza mziki mzuri, hatusikilizi msanii Kama na uwezo wa kumsikiliza Jenifer Hudson, Kat Perry, Lady Gaga, Ariana Grande, Taylor Swift etc. Hebu lamba kwanza sukariKatibu mwandamizi wa Kamati ya wanaume wa mkoani kanda ya Kaskazini natangaza kua leo saa 10 tunakikao juu ya wanaume wenzetu wanaosikiliza nyimbo za Zuchu....
Ah wapi
Grammatical error mkuuHuwa siwezi kupinga kazi ya mtu hususan kama mimi binafsi siwezi ila huwa natoa point nyingi zaidi kwenye originality / Ubunifu kwahio neno kama fulani huwa linaleta ukakasi (does it mean ya fulani ni better)?
Kweli kabisa mkuuZuchu ananikosha Sana hasa huu wimbo wa sasa ni mzuri, KWA wasanii wakike zuchu KWA sasa ni hatari sana
Jenifer hudson mnyama yulee...anaimba kinomaaWewe hata kucrack Da Vinci's code usingeweza kabisa. Watu tunasikiliza mziki mzuri, hatusikilizi msanii Kama na uwezo wa kumsikiliza Jenifer Hudson, Kat Perry, Lady Gaga, Ariana Grande, Taylor Swift etc. Hebu lamba kwanza sukari
Atafika mbali walaKweli kabisa mkuu
niambie komaKatoto cha mwaka 1990
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hebu lamba kwanza sukari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Inasemekana nandy kaiweka kwenye simu yake kama mlio wakuitia
Hiyo RAHA umenigusa mkuu.Humo ndani mtoto alijua kuinyambua sauti,hasa verse ya pili.Mkuu hapo nakuongezea na 3 zingine ni hataree
Zuchu-Hakuna Kulala
2:Zuchu Ft Mboso-Ashua
3:Zuchu Raha...
Hutojutia mkuu...lakin kuna bonus nakupa uende nayo
Rayvanny ft Zuchu-Number One:
hii ndiyo safiRayvanny ft Zuchu-Number One:
HahahaInasemekana nandy kaiweka kwenye simu yake kama mlio wakuitia
Mtoto wa dada [emoji23][emoji23][emoji23]niambie koma
Kumbe nae huwa anajiandikia,ila siamin