Zuchu- Sukari....!!!

Hiyo RAHA umenigusa mkuu.Humo ndani mtoto alijua kuinyambua sauti,hasa verse ya pili.
Hatar sana . kuna ile sehem anaanzia . "Mbezi Kimara hunipeleka puta ashuk!!!!!"

O swear hii nyimbo ukiweka reply wakat wa mgegedo [emoji120] utanishukulu mkuu!!!
 
Ndege asili ya kuga,kufuga haiwezekani.......🎵🎵🎵
 
Huyu alivokuwa anaanza game ilisadikika anakuja kuukwaa u [emoji146] wa Bongo flavah lol.
Nikasema huyu hata iweje hawezi mpiku Vanessa Mdee, sasa ona anavozidi kupotea, hii ni nyimbo ya hovyo kuimbwa naye.
Hakuna kityuuh hapa.
 
Kwani Vanessa bado anaimba?[emoji1][emoji1]
 
Hayo ni maoni yako, hayabatilishi uhalisia wowote. Dogo anajua bhana
 
Kwani Vanessa bado anaimba?[emoji1][emoji1]
Kwani unadhani sijui km Vanessa kashatangaza kusimama kuimba? Poleeeeeh wee
Vanessa hata akikaa miaka yote bila kuimba, zuchu hawezi mfikia kamwee abadani dunia igeuke, hata zuchu mwenyewe analijua hilo.
 
Huyu alivokuwa anaanza game ilisadikika anakuja kuukwaa u [emoji146] wa Bongo flavah lol.
Nikasema huyu hata iweje hawezi mpiku Vanessa Mdee, sasa ona anavozidi kupotea, hii ni nyimbo ya hovyo kuimbwa naye.
Hakuna kityuuh hapa.
Chuki mbaya sana...uzi mzm ww peke yako ndio unasema anapotea..[emoji3][emoji3]

Sasa kama anapotea how come ngoma ina go viral? Madem bwana

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…