Zuchu Vs Ruby nani anaijua zaidi kuimba?

cantona55

Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
24
Reaction score
26
Nimeleta hii mada jamvini, kufahamu ni nani kati ya zuchu wa WCB na ruby nani zaidi?

Utime weka pembeni, ndio uchangie mada..

Ukitoa na sababu itakuwa vizur zaid ili tuelewe poin yako...
 
Ruby kama Balotelli ana kipaji ila nidhamu mbovu wakati Zuchu ana kipaji , discipline pamoja na good management so its obvious careerwise Zuchu atafika mbali Ruby tutabaki kusema anajua tuu ila career yake inabaki hapohapo .
 
Ushamskia huyo zuchu anaimba live ni [emoji706]

Hafiki hata kwa nandy live ss rubby atamfikiaje
Kwenye tecno own stage aliondoka mapema akimuacha Nandy. Labda wanaijeria watakuunga mkono 😊
 
ruby balaa lingine mkuu...alafu why zuchu all the time guys? hizi thread za zuchu dah
Zuchu yupo wcb na fans wao wanatamani kumpush mapema afike on top japo bado mapema sana
 
Zuchu yupo wcb na fans wao wanatamani kumpush mapema afike on top japo bado mapema sana
hahaha bas watasubir sana ngoja vanessa mdee atoke huko kuchezea pipe ya rotim aje aporomoshe nyimbo za hatari huyo zuchu mbona hatuta mckia tena. vanessa jeshi la mtu mmoja.hana team wala nn lakn balaa lake zito alafu hana promo promo kama za zuchu
 
Huyu Zuchu tangu siku ya kwanza anatambulishwa WCB amekuwa ni Artists wa kupambanishwa na Artists wenzake tu Leo utasikia Nandy, Kesho Lady jay dee, Keshokutwa Ruby unajiuliza ni kwanini? Kila siku apambanishwe Yeye tu kwanini msipambanishe Nandy na Mini Mars or Ruby na Maua sama au Gigi Money na Dayna kila siku Zuchu Zuchu Zuchu Zuchu kama Zuchu kuimba hajui kwanini kila muda mnamfungulia nyuzi za kumpambanisha si muwapambanishe hao wanaojua kuliko yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…