Zuchu Vs Ruby nani anaijua zaidi kuimba?


Wanalipwa hao iliwampigie promo kama hivyo nyuzi kila saa.

Wenzako wakokibiashara hapo.

Msanii katoka hata nusu mwaka ajafikisha kwenye mziki anashinda nishwa na malegend,hapo huyo msanii akitokA tu wcb wanasema hajui kuimba, hakiwepo wcb anajua kuimba.
 
unapata wapi ujasiri wa kumlinganisha Ruby na Zuchu?!
kiutani utani hv na kesho utakuja na uzi unauliza kati ya Nyerere na Magufuli nani anafaa kua baba wa taifa na team WCB mtakaa chini kujadili[emoji846]

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Personally I'm a fan of WBC and everything they do, lakini kusema ukweli hata yule dada wa kuitwa comando kwa Ruby atasubiri mpaka jua lipambazuke, na yeye mwenyewe anajua hilo.
 
samahani mkuu nipo nje ya mada, hv we ni KE au ME?
 
Huyu Zuchu nimesikia nyimbo yake moja, naona kama vile angefaa zaidi kwenye taarab.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…