Zuckerberg alipokataa mbegu akauziwa mazao

Zuckerberg angekubali kufanya nao kazi hao jamaa labda wasingegundua kitu kinacho itwa
Whatsapp. ila kwa sababu ya kukataliwa kwao walifanya kazi kwa hasira usiku na mchana hadi wakagundua Whatsapp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…