This is completely madness, na inaoonyesha kiwango cha ujinga kwa watawala wetu. DSTV Tanzania hailipi kodi yoyote..... kuanzia VAT mpaka Corporate Tax. Kenya DSTV wanalipa hizi kodi. Hii ni kutokana na kuwa na viongozi pamoja na mifumo ya kipuuzi. Nilitegemea katika mazingira hayo Tanzania wangelipa fee ndogo.
Angalia hawa DSTV.. charge zao ni wizi mtupu, Sasa hivi natazama ligi ya Uingereza mechi zote kwenye HD kupitia Abu Dhabi sport kwa kulipa dola 200 kwa mwaka. Beam yao ipo clear hapa Dar. Haya majizi yalikuwa yananilipisha Tzs 145,000/=kwa mwezi mpaka najitoa.
Wakati mwingine unaweza kuiona TCRA as another lump of garbage sitting out there doing nothing.
Mkereketwa,