cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
Mmh! Zuma anatisha!
sidhani kama hata ana furaha maana nahisi kila siku anasikia maugomvi ya hao wake zake,na ana kazi ya ziada ya kufanya watoto wake wote wapendane pasi kubaguana.
Yuko kwenye isidingo the needhii kweli kali, huyo Gugu cjui nimemuona kwenye tamthilia gani jamani KBC.
hata tukisema mila zao zinaruhusu but kwa dunia ya leo hizo mila zinatakiwa zivunjwe jamani, wanawake wote hao wa nini?
Yuko kwenye isidingo the need
ni kweli ila mie nawashangaa zaidi hao wanawake wanaokubali kuolewa naye,over my dead body,sitaruhusu kushare mume maishani bora niwe single forever.
hata tukisema mila zao zinaruhusu but kwa dunia ya leo hizo mila zinatakiwa zivunjwe jamani, wanawake wote hao wa nini?
ni kweli ila mie nawashangaa zaidi hao wanawake wanaokubali kuolewa naye,over my dead body,sitaruhusu kushare mume maishani bora niwe single forever.
Mjinga wewe go zumahuyu ni mjinga, anawaaibisha wa south africa na waafrica ka ujumla.
ni kweli ila mie nawashangaa zaidi hao wanawake wanaokubali kuolewa naye,over my dead body,sitaruhusu kushare mume maishani bora niwe single forever.
Cheusi nakuhaidi over my dead body sitaoa mke wa pili it will be only you and i really mean yaani only you mpaka hapo kifo kitakapotutenganisha
Cheusi hao watoto hawawezi kupendana labda upendo wa kugundisha na gundi,tusishangae tukasikia tena anatangaza harusi na bado infidelity kama kawa!!!He needs gracesidhani kama hata ana furaha maana nahisi kila siku anasikia maugomvi ya hao wake zake,na ana kazi ya ziada ya kufanya watoto wake wote wapendane pasi kubaguana.