firstcollina
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 349
- 23
ni kweli ila mie nawashangaa zaidi hao wanawake wanaokubali kuolewa naye,over my dead body,sitaruhusu kushare mume maishani bora niwe single forever.
Sasa mie nataka nikuoe uwe Cheusimangala uwe no.1, GS awe no.2, Nyamayao awe no.3, FirstLady1 akamate no. 4 halafu outdoors a.k.a (girl friend) ata_play Maria Roza na Smiles. Ili ku-complete the need full tayari nina mtoto mmoja wa nje named Boflo. What a family
Nauliza mtapigaaaana? au mta show lov!
Unaonaje tukikuoa ww:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
hamna shida,Rev masa yuko wapi atufungishe ndoa.
nami nitakua muaminifu kwako hadi kifo kitutenganisha coz najua kitatutenganisha baada ya miezi sita na ww ndo utatangulia lkn ucjali nitaendeleza vizuri mali zako zote nitakazorithi
Kumbe Gugu ni mtoto wa Zuma nampenda sana huwa namcheki kwenye Isidingo the need ila sikujua chanzo chake
Cheusi hao watoto hawawezi kupendana labda upendo wa kugundisha na gundi,tusishangae tukasikia tena anatangaza harusi na bado infidelity kama kawa!!!He needs grace
Go Zuma Go!!!
Cheusi mbona unataka kuniua kabla wakati wangu haujafika😡 ili nani akurithi wewe nimesema sitaki sitaki
weweee mi chichemi
Sasa mie nataka nikuoe uwe Cheusimangala uwe no.1, GS awe no.2, Nyamayao awe no.3, FirstLady1 akamate no. 4 halafu outdoors a.k.a (girl friend) ata_play Maria Roza naSmiles. Ili ku-complete the need full tayari nina mtoto mmoja wa nje named Boflo. What a family
Nauliza mtapigaaaana? au mta show lov!
usiogope hivyo ndivyo roho alivyonifunulia.jiweke tayari kwani hujui siku wala saa bali hesabu miezi 6 tokea siku Rev atakaposema you may kiss the bride.
Cheusi nikioa mke wapili utakata jembe langu:becky::becky:
Isije ikawa Rev ndio anataka nife halafu akurithi wewe ngoja na mimi nisubiri nione roho atakavyonifunulia maana hapa naona nachezewa karata
hata tukisema mila zao zinaruhusu but kwa dunia ya leo hizo mila zinatakiwa zivunjwe jamani, wanawake wote hao wa nini?
karibu mwanamke mwenye busara weyeCheusi hao watoto hawawezi kupendana labda upendo wa kugundisha na gundi,tusishangae tukasikia tena anatangaza harusi na bado infidelity kama kawa!!!He needs grace