Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 903 Oct 5, 2010 #61 Inakuwaje watoto wote wawe wa kike tu? Majina ya wawoza tunashidwa kuelewa wakike ni yupi na wakiume ni yupi. ila kwenye picha naona wakike tu! Au jamaa aliyetoa hizi picha anatangaza soko lao?
Inakuwaje watoto wote wawe wa kike tu? Majina ya wawoza tunashidwa kuelewa wakike ni yupi na wakiume ni yupi. ila kwenye picha naona wakike tu! Au jamaa aliyetoa hizi picha anatangaza soko lao?