Zungu,ameshawasili kwenye kituo na mkutano unaendelea!

Siyo kweli. Hapo mhe. Zungu alikuwa anatest mitambo lkn mtandao umezingua. Hakuna kikao kilichofanyika.
Mbona yule cotober anasema kikao kishaisha πŸ˜€
 
Kunguni za chadema,mlikuwa mnatariji nini hasa juu ya mkutano wa leo,26th/July/2025?,are you happy?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„......(Anakwenda kubwaga manyanga,subutu yenu)hapa ni vyuma kwa vyuma mpaka kieleweke)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…