Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Naibu spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu leo bungeni amemtaka Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko kufuata taratibu za bunge ikiwa ana tatizo lolote na yeye baada ya tofauti kutokea kati yao wakati bunge likiendelea.
Pia soma: Pre GE2025 - Uzi Maalum wa Kauli tata na za kushangaza kutoka kwa Viongozi na Wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kupata matukio na taarifa katika kila mkoa kuelekea uchaguzi mkuu ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025