Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Feb 4, 2023 #1 Naibu Spika alikuwa anaongea katika mkutano wa CCM leo Upanga. Anasema Bima ya Afya kwa wote kwanza italenga kuwasaidia wale ambao ni vulnerable. Ulikuwa mkutano ambao ulihudhuriwa pia na Zuberi Mtenvu,Mwenyekiti wa CCM Far.
Naibu Spika alikuwa anaongea katika mkutano wa CCM leo Upanga. Anasema Bima ya Afya kwa wote kwanza italenga kuwasaidia wale ambao ni vulnerable. Ulikuwa mkutano ambao ulihudhuriwa pia na Zuberi Mtenvu,Mwenyekiti wa CCM Far.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 4, 2023 #2 Haya
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 10,904 Reaction score 26,184 Feb 4, 2023 #3 Poppy Hatonn said: Naibu Spika alikuwa anaongea katika mkutano wa CCM leo Upanga. Anasema Bima ya Afya kwa wote kwanza italenga kuwasaidia wale ambao ni vulnerable. Ulikuwa mkutano ambao ulihudhuriwa pia na Zuberi Mtenvu,Mwenyekiti wa CCM Far. Click to expand... Kabisa tena faster sana USSR
Poppy Hatonn said: Naibu Spika alikuwa anaongea katika mkutano wa CCM leo Upanga. Anasema Bima ya Afya kwa wote kwanza italenga kuwasaidia wale ambao ni vulnerable. Ulikuwa mkutano ambao ulihudhuriwa pia na Zuberi Mtenvu,Mwenyekiti wa CCM Far. Click to expand... Kabisa tena faster sana USSR
Bungurere JF-Expert Member Joined Jan 24, 2023 Posts 232 Reaction score 292 Feb 4, 2023 #4 Hili swala lingefanywa Kama Sera kisha limalizike Kama sheria