Zungu ataka huduma njia za intaneti zitumike kuongeza pato la Taifa

Huyu mdingi anataka tuzidi kuongezewa matozo mengineyo tena! Yeye ameng'ang'ana na tozo za miamala ya simu hadi leo tunateseka, tena bado anataka tubebeshwe zigo jingine!!! Hivyo panya road wako wapi?
 
Kama anawaonea huruma watanzania mbona shirika lao la TTCL limekufa ni muda wa kulifufua
 
This man can no longer think of his nation rather he is fighting for the elites and survivor
 
Yani huyu mzee anajipendekeza kwa rais Hadi anatoa aibu, yani anajifanya ni bonge la mbunifu wakati hajui anachokiongelea, issue yake ya tozo kwenye mitandao ya cm imesababisha vijana wengi kufunga ofisi zao za uwakala ,bado anawaza kwenye internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…