Tetesi: Zungu na genge lao wanataka kuchezea Katiba, Wanaleta Mabadiliko ya baadhi ya Vifungu, Mf Urais baada ya Rais Kufa

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Mauaji ya Halaiki, yamewatisha wao wenyewe !!

Wanahaha Kila Mmoja kuhakikisha Maisha yao yanakua Hai na Wanayalinda,Kwao na VIZAZI vyao.

Ukweli ni kua KWA MAUAJI WALIYAFANYA , Hatuwezi kamwe kuwasamehe wao na VIZAZI vyao.

Hukumu dhidi yao ni endelevu na ya kizazi Hadi kizazi.

Wapo Tutakaowafilisi, na Kuwafunga Jela.

Wapo tutakaowanyonga !!.

Hili litafanyika Leo au kesho , Mauaji yalofanyika dhidi ya Watanzania hamna namna ingine ya Kutoa Hali Kwa Marehem zaidi ya Kuwanyonga Wauaji !!.

Mbinu zenu zote, zitaendelea kufichuliwa

DEC 9 ni maandamano!!!.
 
Propaganda chafu zilizopitwa na wakati zipuuzwe🚮
 
Hayo mabadiliko ambayo Zungu kayaleta ni yapi? Mbona ujafafanua kwa kina Uzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…