ZURA imetangaza bei mpya ya mafuta. Kuanza kutumika 09.03.2022

ZURA imetangaza bei mpya ya mafuta. Kuanza kutumika 09.03.2022

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Jumatano Tarehe 09/03/2022
20220309_054206.jpg
 
Wanapopandisha bei ya diesel na petrol na kupunguza ya mafuta ya taa, inamaanisha nini?

Hiyo ni ruhusa kwa wenye vituo kuchakachua mafuta kwa kujaliziaa mafuta ya taa juu.
 
Makamba na Ewura yake wanaandaa mkeka.....muda sio mrefu kigoma na Kagera petroli itasoma tsh.3901/litre
 
Back
Top Bottom