M's Tanzania wa Kwanza (Hayati Theresa)
Mwaka 1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na hayatakuwa na muonekano wa kimataifa kwa sababu yalifanyika kwenye maeneo machache.
Kwani...
Amri Athuman’ King Majuto’ alizaliwa mwaka 1948 jijini Tanga na kusoma shule Msambwini, Tanga, alianza kuigiza 1958 akiwa na umri wa miaka 9 akiigiza katika majukwaa Mzee Majuto maarufu kama King...
https://youtu.be/Ex94EQQL8Ro?si=vNFvoKjRVolsifCm
Nina Masikitiko makubwa ya kumpoteza msaani wangu mkali Jose Mtambo kwa sababu ya pombe na madawa. Huyu ni msaani wangu wa pili baada ya kumpoteza...
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa WBO Afrika katika uzani wa middle, Hassan Mwakinyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga akituhumiwa kum-shambulia mtu anayedaiwa...
Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.
Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza...
Inadaiwa Haji na Mkewe Zai, wanamtuhumu MaiMartha Jesse kwa kumtusi Mkewe Zailyisa kupitia mahojiano na Online Tv yake ya Mai Tv, kuwa ni mwanamke asiyefaa kuwa mke wa Mtu kutokana na kitendo...
Kwa muda mrefu, jina la Baraka Mpenja limekuwa sawa na simulizi ya soka la Tanzania. Sauti yake ilibeba hisia za mechi, ikiwasha ari ya mashabiki na kuwafanya wahisi kila mpira uliopigwa uwanjani...
Mwamba anasema yeye alikuwa mshindi wa pili na alichoambulia ni kupewa ticket za go and return kwenda capetown, bed and breakfast.
Alipowaambia kama anaweza kubadili wampe pesa, walikataa...
The young Tanzanian lady who is discovered to be the lady in Africa with the biggest backside goes by the name Janeikunda Evarist Rimoy while her nickname is known as Sanchi. The word Sanchi was...
Joyce Mbaga (32) maarufu kwa jina la (Nicole Berry) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam mbele ya Hakimu Ramadhan Rugemalira kwa tuhuma za kupokea...
Dwight Yorke amefichua kwamba wakati wa msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku: "Katika miaka yangu ya baadaye Man United, wanawake walikuwa wakinijia kila mara.
Nina...
Binti huyo aitwae Israella (8) alifariki siku ya jumatatu tar 29/3 nchini Kenya alipokuwa anapatiwa matibabu kutokana na matatizo ya mapafu. Hata hivyo, familia imelalamikia kitendo cha Serikali...
1. Mheshimiwa Haji Manara amepata shavu la usemaji wa klabu ya PSV Eindhoven.
2. Mipango ya vibali vya kazi na viza vikikamilika yeye pamoja na familia watatimkia huko ng'ambo tayari kwa kazi. ya...
Marafiki wa milionea raia wa Zimbwabwe, Genius Kadungure aliyejulikana kama Ginimbi kwa muktadha wa kijamii, wamesema atazikwa na gunia lilojaa Dola, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti...
Kwa leo story kubwa ni pambano linaloendelea uko YouTube kati ya Zuchu na Nandy.
Vipi wadau ikitokea Nandy kashindwa kumpita Zuchu mnadhani ndio itakuwa ushahidi kuwa Nandy ameshapotezwa na Zuchu?
Hello..
Nilikua kwenye pitapita zangu nikakuta sehemu zinapigwa ngoma za zamani za bongo fleva..
Ghafla ikapigwa ngoma ya namuimbia ya Pasha aiseeh ilinisafirisha mbali sana kihisia huyu mwamba...
IRENE Uwoya ni mwigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali; mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 33, lakini bado anajiona binti wa miaka 20.
Inasemekana kwamba, Irene hana hata kibanda cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.